Posted in

Majina ya Walioitwa Kazini Juni 2025

Utangulizi: Taarifa Muhimu kwa Watafuta Kazi Serikalini

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) imetoa matokeo ya ajira za serikali kwa waliokamilisha mchakato wa kuomba kazi mwezi Mei 2025. Tangazo hili rasmi limetolewa mwezi Juni 2025 na linahusisha majina ya walioajiriwa na kupangiwa vituo vya kazi katika idara mbalimbali za serikali.

Kama uliomba kazi serikalini mwezi Mei, huu ndio wakati wako wa kuangalia kama jina lako limefanikiwa.

1. Idara Zilizotoa Ajira Mwezi Mei 2025
Majina yaliyotolewa yanahusisha nafasi mbalimbali kutoka kwenye taasisi za umma na wizara tofauti kama:

Wizara ya Afya

TAMISEMI (Walimu wa Msingi & Sekondari)

RUWASA (Maji Vijijini)

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Wakala wa Barabara TANROADS

Mahakama ya Tanzania

Wizara ya Maliasili na Utalii

Wizara ya Kilimo

2. Namna ya Kupata Orodha ya Majina – Hatua kwa Hatua

Hatua 1: Tembelea Tovuti Rasmi

Ingia kwenye www.ajira.go.tz

Chagua kipengele cha “Majina ya Walioajiriwa”

Chagua tangazo lenye kichwa:
“Tangazo la Kuitwa Kazini Juni 2025 (Matokeo ya Mei)”


Hatua 2: Pakua PDF

Bonyeza “Download” kupakua orodha kamili ya walioajiriwa

Fungua faili na tumia kipengele cha “Search” kutafuta jina lako


Hatua 3: Angalia Kituo Chako cha Kazi

Orodha inaonyesha:

Jina kamili

Namba ya usaili

Cheo

Idara

Kituo cha kazi

Tarehe ya kuripoti

3. Orodha ya Nafasi Zilizojazwa (Mei 2025)

Nafasi Idadi ya Walioitwa Idara ndogo Kumbukumbu

Afisa Afya Mazingira 67 Wizara ya Afya PDF-AFYA-JUN2025
Mwalimu wa Sekondari (Physics) 340 TAMISEMI PDF-WALIMU-JUN2025
Mhandisi Maji 48 RUWASA PDF-RUWASA-JUN2025
Afisa TEHAMA 55 TRA PDF-TRA-JUN2025
Msaidizi wa Sheria 30 Mahakama PDF-MAHAKAMA-JUN2025

Afisa kilimo

4. Majina Yote – Pakua PDF Hapa

> Tangazo la Walioitwa Kazini – Juni 2025 (Ajira za Mei)

1. Pakua PDF ya Wizara ya Afya


2. Pakua PDF ya TAMISEMI (Walimu)


3. Pakua PDF ya RUWASA


4. Pakua PDF ya TRA


5. Pakua PDF ya Mahakama ya Tanzania

6.Pakua PDF ya kilimo

5. Maelekezo kwa Walioitwa Kazini

Unatakiwa kufanya nini baada ya jina lako kuonekana?

Soma barua ya maelekezo iliyomo kwenye PDF

Andaa vyeti vyako halisi (originals)

Peleka picha (passport size 3)

Taarifa ya benki (kwa ajili ya mshahara)

Kadi ya NIDA au namba ya NIDA

Uwasiliane na ofisi ya rasilimali watu kwenye kituo chako cha kazi


Mwisho wa kuripoti kazini ni lini?

Tarehe ya mwisho imewekwa kwenye barua ya tangazo – hakikisha huruki deadline

Usiporipoti kwa wakati, nafasi yako huweza kuchukuliwa na mtu mwinginUtajuaje Kama Umeitwa Kazini Kupitia Utumishi
Kama ulifanya usaili kupitia utumishi na ajira portal basi unapaswa pia kufuatilia kujua kama ulichaguliwa kua miongoni mwa walioitwa kazini baada ya kufanya usaili. Sekretarieti ya Ajira (PSRS) hutoa PDF document ambayo huwa na majina ya walioitwa kazini baada ya kufaulu usaili wao. Document hizo hupatikana kupitia tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira (PSRS)

Hivyo basi ili kujua kama umeitwa kazi kupitia utumishi tembelea tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS).

Matangazo haya ya kuitwa kazini yanapatikana moja kwa moja kupitia tovuti rasmi ya sekretarieti ya Ajira (Utumishi). Pia hapa katika page hii utapata updates zote za majina ya waliotwa kazi utumishi leo, wiki hii, mwezi huu. ili kupata taarifa za sasa tafadhari tembelea ukrasa huu mara kwa mara.

MAWASILIANO Ya UTUMISHI
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa mawasiliano yafuatayo;

Ofisi ya Rais,

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma,

SLP 2320,

Dodoma.

katibu@ajira.go.tz

+255 (26) 2963652e

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *